"I Surrender" Дууны үг
"I Surrender" нь Суахили хэлээр дууны үгтэй.
"I Surrender" гэсэн утга нь Суахили хэлнээс гаралтай бөгөөд одоогоор англи орчуулга руу хөрвүүлээгүй байна.
Watch Angel Benard's song "I SURRENDER".
Audio: Again go Sevil
Video director: Benachi (Lieutenant Films)
Song Writter: Angel. Benard
LYRICS
Sikupi mipaka tena
Chukua nafasi Bwana
Miliki kila chumba ndani yangu
Sikupi mipaka tena
Panga na pangua
Yape yote sura yako
Acha nifurike Wewe tu *2
(Chorus)
I surrender
I surrender
Sikupi
Mipaka tena
Umenijua toka kale
Kabla ya kuumbwa kwangu
Nitawezaje bila wewe
Uuuu
Hatua zangu bila wewe
Ni bure na nitaishia
Uharibifuni
Ninakuhitaji
(Chorus)
Instagram: angelbenardofficial
Facebook: angelbenardofficial
Twitter: officialangelbenard
#AngelBenard #ISURRENDER